Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 3 November 2013

WATANZANIA UINGEREZA WAJITOKEZA KUMUAGA RAIS KIKWETE

Rais Jakaya Kikwete akiongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London. Rais Kikwete alikuwa anarejea nyumbani Tanzania mara baada ya kumaliza mkutano wake wa OGP (Open Government Partnership) uliofanyika London nchini Uingereza. Pembeni yake kulia ni Bi Mariam Mungula, Kaitbu wa CCM UK.
Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Owino akiongea jambo na Rais Kikwete.
 
Rais Kikwete akijibu swali la Ndugu Maina Owino.
Mwenyekiti wa CCM UK akisalimiana na Rais Kikwete na kumshukuru kwa muda wake aliojitoela kuongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza jioni ya jana kumuaga.

No comments:

Post a Comment