Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 5 November 2013

BALOZI SEFU IDDI AZIASA REDIO ZA JAMII KUWA CHACHU YA MAENDELEO


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua rasmi Redio Jamii ya Wilaya ndogo ya Tumbatu visiwani Zanzibar. Kushoto ni Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Mawasiliano ya Umoja wa Mataifa (Unesco) Abdul Wahab Coulibaly wanaofadhili unzishwaji wa redio za jamii Tanzania Bara na Visiwani.
Mkurugenzi wa Kituo cha Redio Jamii cha Tumbatu Ali Khamis Mtwana akimpatia maelezo juu ya utendaji wa Kituo hicho Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kukizindua rasmi. ulia kwa Balozi Seif ni Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Unesco Abdul Wahab Coulibaly na Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mh. Said Ali Mbaouk.
Mkurugenzi wa Kituo cha Redio Jamii cha Tumbatu Ali Khamis Mtwana akifanya vitu vyake wakati akiwa hewani kurusha matangazo ya kituo cha Redio Jamii Tumbatu mara baada ya kuzinduliwa na Balozi Seif Ali Iddi. Kushoto kwa Balozi Sefu ni  Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Mawasiliano ya Umoja wa Mataifa (Unesco) Abdul Wahab Coulibaly wafadhili wa mradi huo.

No comments:

Post a Comment