Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 4 November 2013

CHEZEA ELIMU YA NGUMBARO WEWE!

Siyo kwamba anaangalia picha, anajua kusoma pia. Usichezee elimu ya ngumbaro, elimu ya chini ya mwembe, elimu ya watu wazima, au kisomo chenye manufaa.
Leo hii watoto wetu wanamaliza fomu foo wakiwa na FFFF (F nne) ambazo zamani tuliziita 'Four Years Fighting For Food'. Hivi mnadhani Nyerere alikuwa mjinga kuwasomesha wazee wetu kila saa tisa alasiri? haya ninyi wajanja mbona mmefuta hata mitaala?
Mbega.

No comments:

Post a Comment