Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 4 November 2013

'NETIWEKI' SHIDA HUKU JAMANI...








Sehemu zingine mtandao wa simu shida jamani, watu wanafunga safari kwenda mahali kama hapa ili kupata netiweki. Ni porini, wanakuja kwa miguu au baiskeli. Unatafuta netiweki weee mkono uko mbali na sikio, ukiipata halafu uweke sikioni, simu inakatika. Maisha bora au bora maisha? Halafu niwaambie, ni katika Jimbo la Isimani la Mheshimiwa sana William Vangimembe Lukuvi. (Picha kwa hisani ya Said Ng'amilo).



No comments:

Post a Comment