Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 17 November 2013

USIOMBE HAYA YATOKEE, MAITI 400 ZAZIKWA MITARONI


Grim spectacle: Hundreds of bodies lay rotting in a hastily-constructed trench
Karibu maiti 400 zilizoanza kuharibika nchini Ufilipino zimezikwa kwenye mtaro huku maiti 393 zikiwa hazijatambuliwa.
Hali hiyo imetokana na maafa makubwa ya kimbunga cha Haiyan kilichotokea huko Ufilipino wiki iliyopita ambapo  maiti hizo zilikuwa zimewekwa kwenye mifuko ya plastiki.
Stark: Almost 400 bodies lie in a hastily-constructed mass grave

Gruelling: Volunteers drag the corpses into place in storm-hit Tacloban

Anonymous: The vast majority of the bodies have not been identified

Maiti zilizotambuliwa hazifiki hata 60, kwa mujibu wa taarifa kutoka huko, ambapo zaidi ya watu 4,000 wamefariki dunia mpaka sasa katika kisiwa cha Tacloban kilikotokea kimbunga Haiyan.
Meya wa Tacloban, Alfred Romualdez alisema maiti nyingi zitakuwa zimesombwa na maji kupelekwa baharini na haziwezi kupatikana.
Eneo moja lililokuwa na wakazi kati ya 10,000 na 12,000 halikuwa na watu kabisa, alisema.
Kila mahari kwenye mji huo kulikuwa na maiti zilizoanza kuoza, hivyo kutolewa uamuzi wa kuzika haraka ili kuepusha kuenea kwa magonjwa hasa baada ya vyumba vya kuhifadhia maiti kubomolewa na dhoruba hiyo.

No comments:

Post a Comment