Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 4 November 2013

BORA ELIMU, NA HIVI TULIVYOONDOA DIVISHENI ZIRO BALAA TUPU


Chumba kimoja, madarasa mawili tofauti. Wamepeana migongo. Nani anaanza kufundisha, nani anamalizia. Mtajaza wenyewe, watoto wao si wako Ulaya? Wengine wanasoma Intaneshino za kimataifa? nani anajali.
Iringa.
Oooh, tazama hawa nao...
Wako darasani, lakini mabenchi utafikiri wanasubiri chibuku. Inasikitisha, bora elimu.


No comments:

Post a Comment