Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Rajab Luhwavi akimkaribisha Mgombea Urais wa
chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli awasalimie
wananchi,awashukuru na kujitambulisha kwa wananchi hao waliokuwa
wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni mkoa wa Singida.
Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia
wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni
mkoa wa Singida.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli(kulia) akisalimiana na
aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini Dk. Hamisi Kigwangala
Hussein
Bashe ambaye ametia nia ya kugombea ubunge jimbo la Nzega Mjini
akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
mjini Nzega.
Wananchi
wa Nzega wakishangilia mara baada ya kumisikiliza Mgombea Urais wa
chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli alipomaliza kuwasalimia
na kuwashukuru kwa namna walivyojitokeza kumtia moyo,nje ya za CCM
Nzega
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Nzega
kwenye mkutano uliofanyika nje ya ofisi ya CCM wilayani hapo, ambapo
aliwaambia Wananchi kuwa amefarijika na mapokezi mazuri na amewaahidi
kurudi tena wakati wa kampeni zitakapoanza..
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya wageni
Ofisi za CCM ndani ya mji wa Manyoni mkoani Singida alipokuwa akipita
kuwashukuru Wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kujitambulisha
kwao akiwa anatokea jimboni kwake Chato akirejea jijini Dar kwa njia ya
barabara.
Wananchi
wa Igunga wakiwa na Bango lao wakimkaribisha Mgombea wa Urais kupitia
CCM Dk.John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili maeneno hayo kuwashukuru
na kujitambulisha kwao akiwa anatokea jimboni kwake Chato akirejea
jijini Dar kwa njia ya barabara.
Wananchi
wa Ikungi wakiwa wamelizunguka gari la Mgombea Urais wa chama cha
Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli na kufunga barabara wakimtaka
awasalimie tu ndipo aendelee na safari yake.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiondoka nzega huku
shangwe zikiwa zimetawala kutoka kwa mashabiki mara baada ya kuwashukuru
kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kujitambulisha kwao akiwa anatokea
jimboni kwake Chato akirejea jijini Dar kwa njia ya barabara
Wananchi
wa Igunga wakimshangila Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe
Magufuli mara baada ya kuwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea,na
pia alijitambulisha kwao.Dkt Magufuli aliwaeleza wananchi hao kuwa ana
mambo ya kuwaambia lakini kwa sasa anapita kujitambulisha kwao,kwa
sababu wakati wa kampeni bado haujafika,lakini ukifika basi atarejea
tena kuzungumna nao kinagaubaga.
Wananchi
wa Ikungi wakishangilia kwa ujio wa Mgombea Urais wa chama cha
Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli na kufunga barabara wakimtaka
awasalimie tu ndipo aendelee na safari yake.
Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia
wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM mkoa wa
Singida.
Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia
wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM mkoa wa
Singida.
Wananchi
wa Singida na vitongoji vyake wakiwa wamekusanyika nje ya ofisi za CCM
mkoa wa Singida,wakitaka kumuona na kumpongeza Mgombea Urais wa chama
cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa mgombea
Uraisi wa CCM na pia kumuombea na kumtakia kila lakheri katika safari
yake hiyo ya kugombea nafasi ya Uraisi
Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwashukuru
Wananchi wa Singida mjini kwa kujitokeza kwa wingi kumlaki,walipokuwa
wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM mkoani humo.
Mh
Mwigulu Nchemba akishangilia jambo mara baada ya kumsikiliza Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa
akiwasalimia wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za
CCM mkoa wa Singida.
Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana
na mmoja wa makada wa CCM nje ya ofisi za CCM njini Manyoni Mkoani
Singida,mara baada kuwasalimia,kuwashukuru Wananchi waliojitokeza
kumpokea na pia alipata nafasi ya kujitambulisha kwa wananchi hao.
No comments:
Post a Comment