Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu ya Vodacom, Fatuma Abdallah (wa tatu kushoto) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka huu, kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Khalid Abdallah na kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union, Salim Bawaziri. (Picha kwa hisani ya Coastal Union).
No comments:
Post a Comment