Kaimu Mkurugenzi
wa Bodi ya Ligi Kuu ya Vodacom, Fatuma Abdallah (wa tatu kushoto) akimkabidhi hundi ya shilingi
milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa
pili mwaka huu, kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Khalid Abdallah na
kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union, Salim Bawaziri. (Picha kwa hisani ya Coastal Union).
No comments:
Post a Comment