Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday, 19 May 2015

TFF YATUMA RAMBIRAMBI RUREFA

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, limetuma salamu za rambirambi kwa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA) kufuatia kifo cha katibu mkuu msataafu wa chama hicho Adolph Choma aliyefariki Jumamosi na kuzikwa jana.


Katika salamu hizo, TFF imesema inawapa pole familia ya marehemu Adolph Choma, ndugu jamaa na marafiki, wapenzi na wadau wa mpira wa miguu nchini na kusema TFF ipo pamoja nao katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.

IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

No comments:

Post a Comment