Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday, 21 May 2015

KIKOSI HATARI HIKI, HATA BARCELONA HAIONI NDANI.....

Long time yaani, kikosi cha wanahabari, wakati huo tukiwa na Global Publishers Limited kwenye ufukwe wa Badeco, Bagamoyo.
Kutoka kushoto ni Kessa Mwabeleko, Ojuku Abraham, Issa Migeto, Issa Mnari, Ruhazi Ruhazi, Athanas Kazige na admin wa brotherdanny.com, Daniel Mbega. Hakuna mamluki hapa.
Tulicheza mpira, lakini viungo vya uzee wakati mwingine vinagoma japo akili inataka. Naam, ni burudani pia ukiangalia timu za wazee zikicheza, naamini hata ingekuja Barcelona ingefungwa!!
Maisha ya waandishi bwana, mnakuwa pamoja halafu mnatawanyika, kila mmoja na njia yake, baadaye mnakutana. Nimewamiss sana wadau.

No comments:

Post a Comment