Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 22 May 2015

KUMBUKUMBU ZANGU: HUU NDIO USAJILI WA KLABU ZA TANZANIA BARA MSIMU WA 1993


Kikosi cha Yanga cha mwaka 1994 hiki. Kutoka kushoto (waliosimama): Salum Kabunda 'Ninja', Constantine Kimanda, Steven Casmir Nemes, Kenneth Mkapa, Selemani Mkati. Waliochuchumaa kutoka kushoto: Nico Bambaga 'Machine', Sekilojo Chambua, Edibily Lunyamila, James Tungaraza 'Boli Zozo' na Said Nassoro Mwamba 'Kizota'.



Na Daniel Mbega
Sasa turejee kwenye ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, ambayo ilianza rasmi Februari 27 ikizishirikisha jumla ya timu 16 huku kukiwa na timu mbili ngeni, Lipuli ya Iringa na Zimanimoto ya Songea. Usajili ulikuwa umeshapita na kila timu ilijitahidi kupata wachezaji wazuri kuliko nyingine. Tuangali baadhi ya wachezaji waliosajiliwa na timu hizo kwa msimu huo.
YANGA (DSM): Ilikuwa inafundishwa na Nzoysaba Tauzany kutoka Burundi. Kikosi cha Yanga kilikuwa kama ifuatavyo:- Magolikipa- Steven Casmir Nemes, Sahau Said Kambi na Rifat Said. Walinzi - David Mwakalebela, Salum Kabunda, Joseph Lazaro, Mikidadi Jumanne, Fred Felix Minziro, Willy Martin na  Selemani Mkati. Viungo - Method Mogella, Steven Mussa, Willy Mtendawema, Issa Athumani, Filotey Mogella na Hamis Gaga. Washambuliaji- Said Mwamba, Mohammed Hussein, Zamoyoni Mogella, Mtwa Kihwelu, Sanifu Lazaro, Aboubakar Salum ‘Sure Boy’, John Alex, Said Mrisho ‘Zicco’na Edibily Lunyamila.
SIMBA (DSM): Mohammed Mwameja, Mackenzie Ramadhani, Often Martin (Ushirika); Deo Mkuki (Pamba), Twaha Hamidu, Selemani Pembe, Fikiri Magosso, George Masatu, Godwin Aswile,  Kassongo Athumani; Ramadhani Lenny, George Lucas, Hussein Marsha, Abuu Omar, Idd Selemani, Joachim Masumbuko, Damian Morisho Kimti, Edward Cyril Chumila, Nico Kiondo, Malota Soma, Bakari Iddi, Abdul Ramadhani Mashine,  Razak Yusuf 'Careca' (Coastal Union), David Mihambo (Reli), Mbuyi Yondani (Reli), Feruzi Teru (Milambo), Dua Said (Small Simba), Rashid Abdallah Magongo (Breweries - Ndovu), Michael Paul na Thomas Kipese.
* Walioachwa ni Alfred Kategile, Joseph Lubisha, Hamza Maneno, Totoo Mulamba, Mavumbi Omari, Abdul Mwetta, Iddi Pazi, Ayoub Mzee, Ally Machella, Issa Kihange na Gebo Peter.
SIGARA (DSM): Martin Ilafya, Mustafa Hoza, Benny Luoga, James Tungaraza, Jacob Mwakyusa, Abubakar Kombo, Abunu Issa, Aziz Nyoni, Faustin Kajima, Idd Cheche, Mohammed Mgalike, Peter John, Amir Shomari na Michael Mwakamene. Hao ni baadhi tu.
PAMBA (Mwanza): Paul Rwechungura, Madatta Lubigisa, Kitwana Selemani, Rwemaho Mkami, Nico Bambaga, Beya Simba, Msonga Rashid, Nteze John, Juma Amir, George Gole, Pastory Mayalla, Rajab Msoma, James Washokera, Khalfan Ngassa, Daniel Mhoja na wengineo.
BIASHARA (Shinyanga): Juma Mhina, Ramadhani Ziki, Ally Ngaoneka, Anthony Ngosha, Deus Pamba, Steven George, Paul John Masanja, Deus Edwin, James Nestory, Dominic Mbawala, Bitta John, Hassan Said, Said George, Benny Musuka na Joseph Fumagoti.
MAJIMAJI (Songea): Hussein Mwakuruzo, Kelvin Haule, Rama Bilali, Mohammed Kulila, John Alexander, Rajab Risasi, Edgar Fongo, Celestine Sikinde Mbunga, Victor Ndawi, Juma Burhani na Peter Mhina.
COASTAL UNION (Tanga): Raphael Paul, Victor Mkanwa, Athumani Tipo, Hussein Acco, Clement Bazzo, Agrey Chambo, Hassan Mattan, Okech, Kulwa Shaaban na wengineo.
MILAMBO (Tabora): Dadi Phares, Abbas Mchemba, Said John, Wastara Baribari, Suleiman Matthews, Muhidin Cheupe, Jobe Ayub, Twaha Omar, Said Sued Scud, Deo Shundu, Mrisho Moshi, Ally Manyanya na wengineo.
USHIRIKA (Moshi): Issa Manofu, Nico Brown, Humphrey Mgaza, Ally Selemani, Reuben Mgaza, Wema Juma, A. Kabisama, David Mjanja, Abdallah Suleiman Kaburu, na wengineo.
TUKUYU STARS (Mbeya): Chachala Muya, Asanga Aswile, Sekilojo Chambua, Robert Damian, Jimmy Mored, Muhesa Kihwelu, I. Nkoba, Gamshard Gamdast, B. Afrika, Jebby Mohammed, na wengineo.
KAGERA STARS (Kagera): Manisha Laurent, Mkama Ntare, Fulgence Novatus, Zahoro Sabu, Clement Kahabuka, Jumanne Chale, Mussa Nassoro, Charles Mwakyoma na wengineo.
PAN AFRICANS (DSM): Idd Pazi, Patrick Mwangata, Hamis Makene, Habib Kondo, Bakari Malima, Ladislaus Shawa, Shaaban Ramadhani, David Ilanda, Abeid Kasabalala, Nurdin Kasabalala, Said Kolongo, Rajab Rashid, China Keya, David Rogers, Thomas Mashalla, Ally Yusuf Tigana, Idrissa Ngulungu, Julius Kalambo na Abdallah Msamba.
RELI (Morogoro): Joshua Kilale, Duncan Mwamba,-Duncan Butinini, Ramadhani Kilambo, Peter Mjata, Saleh Hilal, Joseph Kono, Elias Mwachura, Nassib Abbas, Mathias Mulumba, Mohammed Mtono, Yusuf Macho, Juma Rajab, na wengineo.
BREWERIES (Arusha): Emmanuel Peter, Itutu Kigi, Mashauri Mvungi, Rashid Mmanga, Mohammed salehe, Thomas Tohoye, Juma Mzee, Abdul Shaaban, Aman Rashid, L. Muba na wengineo.
LIPULI (Iringa): Timu ngeni. Saburi Abecha, Isihaka Kabeya Majaliwa, Peter Louis Fwampa, Abdallah Ahamad, Kolla Juma, Mohammed Kitwanga, John Kasuna, Ivory Ng'itu, Zilli Mohammed, John Kimambo, Jaffari Nyoni, Seifudin  Kabange, Mohammed Maneno, John Komba, Costa Magorosso, John Chacha, Jumanne Ucheche, Hamis Mhina, James Mhagama, Shaaban Mussa, Anthony Arthur, Peter Boris, Danford Ngessy, Ezekiel Mapande, Blastus Mathias, Peter Mayombo, Hassan Sisso na Mrage Kabange.
ZIMANIMOTO (Songea): Timu hii ilijitoa baada ya kutemwa na Tanesco Ruvuma ikiwa imeingiza timu uwanjani mara chache na kushindwa kuipeleka timu katika mechi nyingi. Ikafutwa na mechi zake zikafutwa zote.


HII NI SEHEMU YA MUSWADA WA KITABU CHA LIGI KUU YA SOKA TANZANIA CHA MWANDISHI HUYU AMBACHO KIKO KATIKA HATUA YA UHARIRI. WAWEZA KUWASILIANA NAYE KWA SIMU/WHATSAPP/TELEGRAM 0656-331974

No comments:

Post a Comment