Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Sunday, 24 May 2015
JK AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment