Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Prof. Helmas Mwansoko akifungua mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora
wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya
tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha
Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa
Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Mkurugenzi
Msaidizi Mila na Desturi Bi. Lily Beleko
kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akitoa mada katika
mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze
kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo
lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka
Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es
salaam jana.
Mkurugenzi
Msaidizi Lugha Hajat Shani Kitogo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo akitoa mada katika mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania
waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za
kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia
nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo
imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Bi Joyce Fissoo akitoa mada katika mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora
wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya
tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha
Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa
Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Prof.
Aldin Mutembei kutoka Taasisi ya Taaluma za Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam akichangia mada katika mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania
waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za
kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia
nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo
imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Kaimu
Mkurugenzi Diaspora Bi. Rose Jairo kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano
wa Kimataifa kushoto akipokea zawadi ya Vitabu vya Kiswahili kutoka kwa Mkurugenzi
wa TATAKI kulia katika mhadhara wa
kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha
ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na
wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na
Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Mkurugenzi
Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Nigel Msangi akifunga mhadahara wa kuwawezesha
Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili
na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka
Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa
Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
No comments:
Post a Comment