Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17-2020/21 kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mkoani Dodoma leo. Anayeshuhudia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mapango.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango kitabu cha mpango huo.
Mawaziri wakifurahi baada ya mpango huo kuzinduliwa.
Waziri Mkuu, Majaliwa akimkabidhi mpango huo, Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson.
Waziri Mkuu, Majaliwa akimkabidhi mpsngo huo Mbunge wa Jimbo la Korogwe kwa niaba ya Kiongozi Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe ambaye ahakuwepo katika sherehe hiyo.
Waziri Mkuu, Majaliwa akiwa na viongozi wote waliokabidhiwa mpango huo.
Baadhi ya wazee na viongozi wa dini wakishiriki katika sherehe hizo
Philip Mpango akijadiliana jambo na Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage
Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustino Mahiga akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Profesa Jumanne Maghembe na Balozi Mahiga wakifurahia jambo
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola akizungumza na Mahiga
Dk. Mpango akimkaribisha Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson
Naibu Spika akisalimiana na Mbuu wa Wilaya ya Dodoma mjini, Jasmine Tisekwa
Naibu Sika akizungumza na Nape pamoja na January Makamba
Waziri Mwijage akisalimiana na mmoja wa maofisa wa Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri Mkuu, Majaliwa akikaribishwa na Dk. Mpango
Waziri Mkuu Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha na Mipango, Doroth Mwanyika
Baadhi ya wageni waalikwa
Dk. Mpango akiteta jambo na Waziri Mkuu Majaliwa
Kiongozi wa Dini ya Kiislamu akiomba dua ili mpango huo ufanikiwe
Kiongozi wa Dini ya Kikristo akiuombea mpango huo
Mawaziri wakiuombea mpango huo
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana akitoa salamu za mkoa kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Majaliwa
Kikundi cha ngoma za asili ya kabila la Wagogo cha Nyati kikitumbuiza
Majaliwa akiwa namawaziri
Waziri Mkuu, Majaliwa akiaga baada ya kuzindua mpango huo muhimu kwa Taifa
No comments:
Post a Comment