Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Twitter Buzz
....

...

IMETOSHA!

Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday, 18 June 2016
Benki ya NMB yawafuturisha baadhi ya wateja na wadau Dar
Baadhi ya wateja na wadau wa Benki ya NMB wakijumuika kupata futari maalumu iliyoandaliwa na Benki hiyo jana kwa ajili yao. Mgeni rasmi katika futari hiyo alikuwa ni Makamo Rais wa Tanzania, Bi. Samia Hassan Suluhu aliyekuwa wakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment