Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 31 October 2014

MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA HUDUMA KWA JAMII AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila, wakati Jaji huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo.  Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.    

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kulia), wakati Jaji huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Jamii, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Fidelis Mboya.
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Jaji huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  

PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment