Maafisa wa
Mfuko wa PPF, wakitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda hilo kuhusu Mfumo
wa ‘Wote Scheme’ katika maonesho ya 40 ya Biashara ya KImataifa kwenye Viwanja
vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha na Mafoto Blog.
Maafisa wa
Mfuko wa PPF, wakitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda hilo kuhusu Mfumo
wa ‘Wote Scheme’ katika maonesho ya 40 ya Biashara ya KImataifa kwenye Viwanja
vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa
Michango wa Mfuko wa PPF, Glory Maboya, akizungumza na mteja aliyefika katika
Banda hilo kujua michango yake katika Maonesho ya Sabasaba.
Baadhi ya Wananchi
wakipata huduma kutoka kwa Maafisa wa PPF katika Banda la Maonesho kwenye
Viwanja vya Sabasaba.
Mmoja wa wanachama waliojiunga na Mfuko huo akijaza fomu.
Balozi
wa Tanzania Nchini Saudi Arabia, Mhe. Hemedi Iddi Mgaza (kulia) akimkabidhi
Kitambulisho Azda Amani, Mwanachama wa Mfuko huo kupitia Mfumo wa Lazima,
aliyejiunga pia na Mfumo mpya wa ‘Wote Scheme’ katika Maonesho ya 40 ya
Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere.
Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dkt. Aggrey
Mlimuka (kulia) akimkabidhi Kitambulisho Mwanachama mpya, Eliuter Ernest, aliyejiunga
na Mfumo wa ‘WoteScheme’ baada ya kupata elimu kutoka kwa maafisa wa Mfuko huo.
Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dkt. Aggrey
Mlimuka (kulia) akimkabidhi Kitambulisho Mwanachama mpya, Brasis Mkude, aliyejiunga
na Mfumo wa ‘WoteScheme’ baada ya kupata elimu kutoka kwa maafisa wa Mfuko huo.
Balozi wa
Tanzania Nchini Saudi Arabia, Mhe. Hemedi Iddi Mgaza (wa Nne kutoka kulia) Meneja
wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (wa tano kutoka kushoto) wakiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa PPF waliopo katika Banda la
Maonesho la Mfuko huo kwenye Maonesho hayo.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dkt. Aggrey Mlimuka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko huo.
No comments:
Post a Comment