Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki (wa pili kulia) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Jane Mwakalebela akiambatana naye.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki (kulia) akipata maelezo juu ya shughuli na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Banda la TTCL ndani ya Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Dk. Abdallah Possi (kushoto) akipata maelezo anuai ndani ya Banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_73062" align="aligncenter" width="800"] Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi (wa pili kushoto) akielezewa namba Mkongo wa Mawasiliano wa TTCL ulivyotawanyika ndani ya Banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Jane Mwakalebela akiambatana naye. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi (mwenye kibaraghashia) akipata maelezo anuai ndani ya Banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi akiwa ameshika moja ya tuzo za Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto) akiwa katika chumba maalumu cha wageni ndani ya Banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Jane Mwakalebela akizungumza naye. Ofisa Mkuu wa Idara ya Ufundi ya TTCL, Injinia Senzige Kisenge (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Emmanuel Edward (kulia) wakipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa TTCL ndani ya banda la kampuni ya TTCL kwenye Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Ofisa Mkuu wa Idara ya Ufundi ya TTCL, Injinia Senzige Kisenge (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Emmanuel Edward wakitembelea banda la kampuni yao ndani ya Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Emmanuel Edward pamoja na Ofisa Mkuu wa Idara ya Ufundi ya TTCL, Injinia Senzige Kisenge wakitembelea banda la kampuni yao ndani ya Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki akipata maelezo juu ya shughuli na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Banda la TTCL ndani ya Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment