Dadi Tematema akimpokelea dinner set Herman Haule
Dadi Tematema akitoa ushuhuda wa ndugu yake aliyekuja kumpokelea zawadi aitwae Herman Haule jinsi alivyokuwa akiyasoma Magazeti ya Global naye alivyokuwa akimuona anajisumbua
Dadi Tematema akitoka nje ya ofisi za Global na zawadi ya dinner set aliyompokelea ndugu yake, Herman Haule
Ester Josephat akionesha zawadi alizompokelea kaka yake, Godfrey Josephat
Ester Josephat akionesha zawadi alizompokelea kaka yake, Godfrey Josephat.
Mwakilishi wa Ting, Betty Bonzon akimkabidhi king'amuzi cha Ting, mshindi Wilbert Jacob
Mwakilishi wa Ting, Betty Bonzon (kushoto) akimkabidhi kingamuzi na dishi, Edward Mwakapila kwa niaba ya mshindi Baltazari Mrosso
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL
No comments:
Post a Comment