Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 28 May 2016

VIJANA WANAOKUSANYA USHURU WA MAEGESHO YA MAGARI JIJINI MWANZA WALALAMIKIWA

Gari la mmoja wa wagonjwa katika kituo cha afya cha Bio Health kilichopo mtaa wa liberty jijini Mwanza likiwa limepigwa cheni.
Na BMG
Vijana wanaokusanya ushuru wa tozo za maegesho ya magari jijini Mwanza, wamelalamikiwa kwa namna wanavyotekeleza majukumu yao kinyume na taratibu.Vijana hao wamelalamikiwa kutokana na tabia yao ya kuvizia magari yanayoegeshwa katika maeneo mbalimbali jijini Mwanza huku baadhi ya maeneo hayo yakiwa ni halali kwa ajili ya magari kuegeshwa kwa muda.

Katika mtaa wa Liberty jijini Mwanza, vijana hao wamelalamikiwa kutokana na kuvizia magari binafsi yanayowapeleka wagonjwa katika kituo cha afya cha Bio Health kwa ajili ya matibabu.

No comments:

Post a Comment