Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 27 May 2016

PICHA ZA MATUKIO YA BUNGE MJINI DODOMA MEI 26, 2016


Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikiendelea mjini Dodoma Mei 26, 2016.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson akifuatilia kwa makini michango ya wabunge wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu ndani ya Bunge mjini Dodoma.

Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari wakifuatilia kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo.

Naibu Waziri wa Tamisemi, Anthony Mavunde (kulia) akimsikiliza Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako.

No comments:

Post a Comment