Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 15 May 2016

AFRICAN ARTISTS ACADEMY BAND KUTUMBUIZA LEO JIJINI MWANZA

Usikose leo Jumapili Mei 15,2015 kuanzia saa 12 jioni ndani ya CHECK INN PUB Kilimahewa, Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza.

 Kutakuwa na show kali ya muziki wa dansi ambapo bendi ya African Artists Academy ya Jijini Mwanza itatoa burudani kwa wanamwanza kwa kiingilio cha shilingi 3,000 tu.
Bonyeza HAPA Kwa Maelezo Zaidi.

No comments:

Post a Comment