Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 5 August 2015

UMOJA WA MATAIFA WATAKA SHAMBULIO LA BURUNDI LICHUNGUZWE

Mbonimpa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametaka uchunguzi wa kina ufanywe kwa shambulio lililofanywa dhidi ya mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Burundi.
Pierre Claver Mbonimpa alijeruhiwa vibaya baada ya mtu aliyejihami kumpiga risasi usoni na kutoroka kwa pikipiki.
Mwanawe Mbonimpa, Amandine Nasagarare ameambia BBC kuwa babake bado amelazwa hospitalini japo hali yake sasa imeimarishwa.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment