Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 25 August 2015

MCHECHU AFUNGUA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA BUILDEXPO AFRICA 2015 DAR

Mgeni rasmi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ujenzi Buildexpo Africa 2015, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
  Mchechu akionyesha jarida la BuildMart ambalo nalo lilizinduliwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. 
   Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya Uturuki kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam 
    Mchechu akitembelea banda la maonyesho la kampuni ya China kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam 
   Maafisa watendaji wa Sirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam. 
    Mchechu akitembelea banda la maonyesho la la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam 

 Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Haikamen Mlekio akitia saini kitabu cha wageni kwenye banda la maonyesho la NHC kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mchechu akitembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mlimani City jijini Dar es Salaam.

CREDIT: HABARI ZA JAMII

No comments:

Post a Comment