Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 5 August 2015

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA ATC WAZALENDO WA JIMBO LA URAMBO WAFANYIKA MKOANI TABORA

 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Urambo. (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)
 Wanachama wakimsikiliza kiongozi wao Mkuu.
 Wanachama wakimsikiliza Kionozi wao Mkuu kwa umakini mkubwa.
 Katibu Kata Urambo Kati, Mkulila Shabani akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo
 Mwenyeti Kata ya Kiloleni Tarafa ya  Usoke, Wilaya ya Urambo Kati, Juma Kamagi akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo hayo.
CREDIT: FULLSHANGWE.

No comments:

Post a Comment