Kampuni ya Mwana (Mwana Company Ltd)
ni Kampuni mpya inayojishughulisha na ufungaji wa vifaa vya ulinzi vya
kisasa, lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi katika maeneo ya biashara
pamoja na makazi ya watu.
Mkurugenzi
wa Kampuni hiyo, Mwanakwetu Leonard, amesema ni wakati mwafaka kwa
wakazi na wafanyabiashara wa Jiji la Mwanza, kuhudumiwa na kampuni ya
Mwana, ili kuimarisha ulinzi wao kwa njia mbalimbali ikiwemo kamera,
fensi za umeme pamoja na kengele za tahadhari.
"Tuna
vifaa vya kisasa ambavyo vinamuwezesha mteja wetu kuangalia kila ulinzi
wa eneo lake kupitia simu ya mkononi hata akiwa akiwa mbali ikiwemo nje
ya nchi". Amesema Mwana.
Na BMG
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard (kulia), akiwa na Mhariri wa
Lake Fm Mwanza, Amos Gomba (kushoto), kwenye ofisi yake iliyopo Mtaa wa
Uhuru karibu na Vizano Hotel Jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard, akikagua baadhi ya mikataba ya wateja wake.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard (kulia), akikabidhiana baadhi
ya taarifa za kampuni hiyo na mwanahabari/blogger George Binagi
(kushoto).
No comments:
Post a Comment