Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip
Mpango, Kulia, akiwahutubia wahitimu na jumuiya ya Bodi ya taifa ya Wahasibu na
Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) (Hawako Pichani), wakati wa mahafali ya 38 ya Bodi
hiyo, yaliyofanyika katika Kituo cha Bunju, Nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam, kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, Bw. Pius Maneno na
Mwenyekiti wa kamati ya Elimu na Mafunzo wa Bodi hiyo, Bi. Anne Mbughuni.
Baadhi ya wahitimu wa taaluma ya juu ya uhasibu
(CPA), wakiwa tayari kutunukiwa vyeti na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango, katika Mahafali ya 38 yaliyofanyika Katika kituo cha Bodi ya Taifa ya
Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali (NBAA) kilichopo Bunju, nje kidogo
ya Jiji la Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango, akimkabidhi cheti cha kufanya
vizuri katika masomo ya taaluma ya juu ya uhasibu (CPA-T), Bi. Happiness Ngowi,
wakati wa mahafali ya 38 ya Bodi hiyo yaliyofanyika Katika kituo cha Bodi ya
Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), kilichopo Bunju, nje kidogo ya
Jiji la Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango, akitangaza kuwatunuku vyeti wahitimu wa taaluma ya juu ya uhasibu (CPA-T)
waliofanya vizuri katika masomo yao, wakati wa mahafali ya 38 ya NBAA
yaliyofanyika Katika kituo cha Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu,
kilichopo Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar
es Salaam.
Wahitimu waliofanya vizuri katika masomo ya
NBAA, baada ya kupokea vyeti na vya kutambua umahili wao katika masomo pamoja
na kupewa zawadi za fedha taslimu zilizotolewa na wadhamini mbalimbali wa Bodi
hiyo, wakati wa Mahafali ya 38 yaliyofanyika katika Kituo cha NBAA, kilichoko
Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.
Baadhi ya wahitimu wa shahada ya Juu ya
Taaluma ya uhasibu na ukaguzi wa Hesabu CPA-T, inayotolewa na Bodi ya Taifa ya
Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), wakila kiapo cha utii na
maadili wakati wa mahafali ya 38 ya Bodi hiyo, yaliyofanyika katika kituo
kilichoko Bunju, Nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango, (aliyeketi nafasi ya saba kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa Bodi pamoja na wadhamini wa tuzo mbalimbali zilizotolewa kwa
wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao, tukio lililofanyika katika kituo
cha NBAA, kilichoko Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango (katikati), Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA Prof. Isaya Jairo (kushoto) na
Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA Pius Maneno, wakiondoka kwenye viwanja vya mahafali
baada ya kumaliza kuwatunuku vyeti na shahada mbalimbali wahitimu wa kozi
mbalimbali za NBAA, katika eneo la Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango (kushoto), akisalimiana na Msajili wa Hazina Bw. Laurance Mafuru baada
ya kumalizika kwa mahafali ya 38 ya Bodi ya taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa
Hesabu(NBAA), yaliyofanyika katika kituo cha Bodi hiyo, Nje kidogo ya Jiji la
Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment