Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akifungua kikao cha pili cha bodi ya
barabara kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Tanga. |
Meneja wa Wakala wa Barabara nchini Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred Ndumbaro akiwasilisha taarifa ya mpango wa barabara kwenye kikao hicho |
Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe kushoto akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Handeni,Omari Kigoda kabla ya kuanza kikao cha pili cha bodi ya barabara
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM)Stephen Ngonyani alimaarufu Maji Marefu kulia akiteta jambo wakati wa kikao hicho kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM),Marry Chatanda
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso akiteta jambo na Mkuu wa wilaya hiyo,Zainabu Issa wakati wa kikao hicho |
Meneja wa Wakala wa Barabara nchini Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred Ndumbaro akifuatilia kwa umakini jambo katika kikao cha bodi ya barabara leo
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini,(CCM)Omari Kigoda kushoto akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe wakati wa kikao cha pili cha bodi ya barabara |
Wajumbe wa Kikao cha Pili cha Bodi ya Barabara kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa,Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Abdalla Issa na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso |
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku katikati akisikiliza kwa umakini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wakati akifungua kikao cha pili cha bodi ya barabara |
Mbunge wa Jimbo la Kilindi (CCM) Omari Kigua akipitia maelezo kwenye kabrasha kabla ya kuanza kikao cha bodi ya barabara |
No comments:
Post a Comment