Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)
akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely
muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art
kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu
wake,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)
akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely
pamoja na Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli (kushoto) muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art
kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu
wake, kushoto ni Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)
akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely , Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli (kushoto) pamoja na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Bi. Romana Tedeschi na Maafisa wengine muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art
kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu
wake,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)
akipokea kitabu cha A-Concise
Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya
nchi hizi mbili na watu wake
kutoka kwa Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely
muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu hicho, Ikulu jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)
akifunua ukurasa wa kitabu cha A-Concise Study of Contemporary Art
kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu
wake kama ishara ya kukizindua kitabu hicho mbele ya
Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely , Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwaka huu Swaziland na Tanzania inatimiza miaka 50 ya
mahusiano ya kidiplomasia baina baina ya nchi hizi mbili. Katika kuadhimisha shughuli hii, Ubalozi wa Swaziland umezindua kitabu
kinaitwa A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki
uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake.
Kitabu hiki kimezinduliwa rasmi na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu
Hassan.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment