Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (katikati), Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi
wakiwapungia waumini wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya (hawapo pichani)
wakati walipokuwa wanawasili katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo
Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masaunia ambaye
alikuwa mgeni maalum katika mkutano huo wa 47 wa jumuiya hiyo nchini, aliitaka
Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho.
Kulia ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir
Mahmood Chaudhry. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni akizungumza na waumini wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya katika
Mkutano wa 47 wa jumuiya hiyo nchini unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa
Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, anayefuata
ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry. Masauni
katika hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini
nchini kuendeleza
kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu
na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (wapili kulia meza kuu) akimsikiliza Rais Mstaafu awamu ya pili,
Ali Hassan Mwinyi wakati alipokuwa anatoa hotuba yake katika Mkutano wa 47 wa
Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa
Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar
es Salaam. Kulia ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir Mahmood
Chaudhry. Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika
hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (wapili kushoto meza kuu) na Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali
Hassan Mwinyi wakimsikiliza Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya
nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry wakati alipokuwa anazungumza na waumini
mbalimbali pamoja na wageni waalikwa katika Mkutano wa 47 wa Jumuiya hiyo
unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha
Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masauni ambaye
aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba yake aliitaka Jumuiya
hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (kushoto) akipokea zawadi ya vitabu vya dini kutoka kwa Kiongozi
Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry
wakati Naibu Waziri huyo alipomaliza kuufungua Mkutano wa Jumuiya hiyo wa 47
unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji
cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masauni ambaye
aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba yake aliitaka Jumuiya
hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Sehemu ya Waumini wa Jumuiya ya Waislamu wa
Ahmadiyya nchini wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati alipokuwa anatoa hotuba ya ufunguzi wa
Mkutano wa 47 wa Jumuiya hiyo unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya
hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es
Salaam. Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba
yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment