Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 4 October 2016

KAMATI YA BUNGE LA SHERIA KUTOKA UGANDA YAFANYA ZIARA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (mstaafu) Salome Kaganda akiongea na Kamati ya Bunge ya Sheria  kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)

Mwenyekiti  wa Kamati ya Bunge ya Sheria ya Uganda Mh. Jacob Oboth akisisitiza jambo wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)
Mkuu wa Kitengo cha Sheria kutoka Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma akijibu swali kutoka kwa Kamati ya Bunge ya Sheria  kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti hiyo inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (mstaafu) Salome Kaganda akiongea na Kamati ya Bunge ya Sheria  kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)
 Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (mstaafu) Salome Kaganda akiongea na Kamati ya Bunge ya Sheria  kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)
Mjumbe wa Kamati  ya Bunge ya Sheria  kutoka Uganda akiuliza swali kwa  Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (mstaafu) Salome Kaganda (hayupo pichani) wakati wabunge hao walipofanya  walipofanya ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (mstaafu) Salome Kaganda akiongoza kikao cha mafunzo wakati Kamati ya Bunge ya Sheria  kutoka Uganda wakati wabunge hao walipofanya ziara ya kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (mstaafu) Salome Kaganda (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Bunge ya Sheria  kutoka Uganda na watumishi wa Sekretarieti hiyo mara baada ya Kamati hiyo kujifunza jinsi Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma inavyofanya kazi hasa Baraza la Maadili linavyofanya kazi. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo)

No comments:

Post a Comment