Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), Katibu wa baraza
hilo ambae pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed
Mpinga (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya maatairi ya Superdoll, Seif
Seif (kulia) wakikata utepe jana kuashiria uzinduzi wa kituo cha kisasa
kinachotoa huduma za magari upande wa matairi kilichopo maeneo ya Magomeni
Usalama, Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia), Katibu wa
baraza hilo ambae pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,
Mohamed Mpinga(kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya matairi ya Superdoll,
Seif Seif(wapili kushoto), wakimsikiliza Msimamizi wa Kituo baada
ya uzinduzi wa kituo kinachotoa huduma za magari upande wa matairi, Paul Kusoga
wakati akitoa maelezo ya jinsi ya kulichunguza tairi kutumia mfumo wa
komputa.Uzinduzi huo ulifanyika jana Magomeni Usalama, Dar es Salaam. (Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipuliza kifaa maalumu
kilichopo ndani ya gari ambacho ikiwa
dereva ametumia kilevi gari hiyo haiwezi kuwaka, baada ya uzinduzi wa kituo cha kisasa kinachotoa
huduma za magari upande wa matairi. Uzinduzi huo ulifanyika jana Magomeni Usalama, Dar es Salaam. (Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa
uzinduzi wa kituo cha kisasa kinachotoa huduma za magari upande wa matairi.Kituo
hicho kinamilikiwa na Kampuni ya matairi ya Superdoll. Uzinduzi huo ulifanyika
jana Magomeni Usalama, Dar es Salaam.(
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Katibu
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha
Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo
cha kisasa kinachotoa huduma za magari upande wa matairi.Kituo hicho
kinamilikiwa na Kampuni ya matairi ya Superdoll. Uzinduzi huo ulifanyika jana Magomeni Usalama, Dar es Salaam. (Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya matairi ya Superdoll, Seif Seif, akizungumza wakati wa
uzinduzi wa kituo cha kisasa kinachotoa huduma za magari upande wa matairi. Uzinduzi
huo ulifanyika jana Magomeni Usalama, Dar es Salaam.( Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment