Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday, 4 June 2015

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA BONDE LA MTO NILE

5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa nchi za bonde la  mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  34
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  wakati alipofungua mkutano wao kwenye  Kituo Cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015.
1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) wakimsikiliza Dkt. Mohsen Alarabawy  (kulia)   katika maonyesho yalikwenda sambamba  na Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile  kwenye Kituo cha Mikutano cha Hoteli ya Saint Gaspa mjini Dodoma Juni4, 2015.
2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) wakimsikiliza Nakaraga Juliet kutoka Uganda (kulia)  katika maonyesho yalikwenda sambamba  na Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile  kwenye Kituo cha Mikutano cha Hoteli ya Saint Gaspa mjini Dodoma Juni4, 2015.

No comments:

Post a Comment