Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa SIDA Bw. Torbjorn Petterson makao makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyakazi wa SIDA katika makao makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika wa Bunge la Sweden Mhe Urban Ahlin alipotembelea Bunge la nchi hiyo jijini Stockholm.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment