Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 23 June 2015

BUHARI ASEMA ZAMA ZA UFISADI ZIMEKWISHA

Rais Mohammadu Buhari akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry
Rais mpya nchini Nigeria Muhammadu Buhari amewaambia magavana kuwa siku za matumizi mabaya ya fedha zimekwisha.

Buhari ambaye amekuwa uongozini chini ya mwezi mmoja amesema kuwa atafanya kila awezalo kurudisha mabilioni ya dola zilizoibiwa na maafisa wafisadi wa serikali zilizopita
Amesema kuwa nchi hiyo kwa sasa haina fedha kuongeza kuwa ni aibu kuwa wafanyikazi wa serikali hawalipwi.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment