Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 22 June 2015

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) WATIA FORA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Displaying 01.JPG
Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Charles Chacha  (mwenye suti) akiwa katika picha na  waongoza ndege wakati alipotembelea kwenye banda la Tcaa liliopo kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Hadija Omari, Christo Sabuni na Cosmas Changa.

Displaying 02.JPG
Baadhi ya wanafunzi washule ya msingi Msasani jijini Dar es Salaam, wakijifunza  kwa kuona jinsi ya kuongoza ndege wakati walipotembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA)   liliopo kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Displaying 03.JPG
Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Charles Chacha  akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Baraza la Ushauri la watumiaji Huduma za Usafiri wa anga (TCAA-CCC) liliopo kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto   ni  Katibu Mtendaji wa Baraza Hamza Johari ,waelimishaji na wahamasishaji wa baraza hilo Debora Mligo na Athuman Bakari.
Displaying 04.JPG
Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Charles Chacha  (mwenye suti)  katikati akiwa katika picha na  ya Pamoja na wafanyakazi wa Baraza la Ushauri la watumiaji Huduma za Usafiri wa anga (TCAA-CCC)wakati alipotembelea kwenye banda lhilo  kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Displaying 05.JPG
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliofika kwenye maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma yanayofanyika kwe viwanja vya Mnazi Mmoja , wakipewa maelezo na Mwongoza ndege wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hadija Omari, juu ya shughuli mbalimbali zinazofanya na TCAA ikiwemo jinsi wanaovyoweza kuongoza ndege

No comments:

Post a Comment