Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni(wa pili kulia), akishirikiana na viongozi wengine akiwemo Mbunge
wa Jimbo la Segerea,Mheshimiwa Bonnah Kaluwa(wa
kwanza kushoto),kuzindua ujenzi wa kituo cha polisi kinachojengwa
katika Jimbo la Segerea ikiwa ni mkakati wa kupambana na uhalifu katika jimbo
hilo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akishiriki ujenzi wa awali wa kituo cha
polisi kinachojengwa katika Jimbo la Segerea ikiwa ni mkakati wa Mbunge wa
jimbo hilo kupambana na vitendo ya
uhalifu katika jimbo hilo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(suti nyeusi), akisikiliza maelezo kutoka
kwa mmoja wa wajumbe wa kamati ya Ujenzi wa Kituo cha Polisi .Naibu Waziri huyo
pia aliongoza Harambee ya Ujenzi wa kituo hicho ikiwa ni mkakati wa Mbunge wa Jimbo hilo Bonnah Kaluwa, kupambana na matukio ya uhalifu.Naibu Waziri huyo
aliongoza
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi
wa Kituo cha Polisi .Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Segerea,Mheshimiwa Bonnah Kaluwa. Ujenzi wa kituo hicho ni
mkakati wa kupambana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jimbo hilo.
Mbunge wa Jimbo la Segerea la Segerea,
Bonnah Kaluwa, akimuongoza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni(suti nyeusi) na viongozi wengine kwenda kutembelea eneo ambapo
ujenzi wa kituo cha polisi katika jimbo
hilo umeanza ikiwa ni mkakati wa kupambana na matukio ya uhalifu jimboni hapo.
CAP PIX 6
Wananchi wa Jimbo la Segerea,
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(hayupo pichani), wakati wa Harambee ya
Ujenzi wa Kituo cha Polisi ikiwa ni mkakati wa Mbunge wa Jimbo hilo, Bonnah
Kaluwa, kupambana na matukio ya uhalifu katika jimbo hilo.(Picha zote na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA
NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment