Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe
(katikati) akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni
Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk.
Mohamed Seif Khatibu. Kulia ni mkewe Waziri Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio
hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma jana. Picha zote na Felix Mwagara.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe
akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo
la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini, Dodoma
jana. Picha na Felix Mwagara.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe
akiwaonyesha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na waandishi wa habari
(hawapo pichani) kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kabla ya kuanza kuzungumza na
kujibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari. Kulia ni mkewe Waziri
Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya
katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana. Picha na Felix Mwagara.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akizungumza
na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na waandishi wa habari mara
baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kupitia CCM. Waziri Chikawe ambaye alijibu maswali ya waandishi wa
habari kiufasaha huku akishangiliwa na wanachama hao, alisema yeye ni kiongozi
mwenye uzoefu mkubwa na pia akiteuliwa na chama chake kugombea nafasi hiyo
ataendeleza mapambana zaidi dhidi ya maadui watatu ambao ni ujinga, maradhi na
umaskini pamoja na adui mwingine rushwa ambaye ni adui wa maendeleo. Picha na Felix Mwagara.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akizungumza
na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na waandishi wa habari mara
baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Waziri Chikawe ambaye alijibu maswali ya
waandishi wa habari kiufasaha huku akishangiliwa na wanachama hao, alisema yeye
ni kiongozi mwenye uzoefu mkubwa na pia akiteuliwa na chama chake kugombea
nafasi hiyo ataendeleza mapambana zaidi dhidi ya maadui watatu ambao ni ujinga,
maradhi na umaskini pamoja na adui mwingine rushwa ambaye ni adui wa maendeleo.
Kulia ni mkewe, Profesa Amandina Lihamba. Picha
na Felix Mwagara.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe
akishangiliwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kuchukua
fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia CCM, Waziri Chikawe ambaye alijibu maswali ya
waandishi wa habari kiufasaha huku akishangiliwa na wanachama hao, alisema yeye
ni kiongozi mwenye uzoefu mkubwa na pia akiteuliwa na chama chake kugombea
nafasi hiyo ataendeleza mapambana zaidi dhidi ya maadui watatu ambao ni ujinga,
maradhi na umaskini pamoja na adui mwingine rushwa ambaye ni adui wa maendeleo.
Picha na Felix Mwagara.
Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kulia
aliyekaa) akiongoza zoezi la uhakiki wa kadi za wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) waliokuja kumdhamini kugombea kuteuliwa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM, katika ofisi ya Katibu wa CCM, Wilaya ya Dodoma
mjini. Waziri Chikawe wakati akiwa anajibu maswali ya waandishi wa habari, alisema yeye
ni kiongozi mwenye uzoefu mkubwa na pia akiteuliwa na chama chake kugombea
nafasi hiyo ataendeleza mapambana zaidi dhidi ya maadui watatu ambao ni ujinga,
maradhi na umaskini pamoja na adui mwingine rushwa ambaye ni adui wa maendeleo.
Picha zote na Felix Mwagara.
No comments:
Post a Comment