Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday, 4 June 2015

MWIGIZAJI WA FILAMU ZA GODZILLA AFARIKI


Hiroshi Koizumi, msanii wa Japan ambaye aliigiza katika filamu nyingi za Godzilla amefariki akiwa na umri wa miaka 88.

Kulingana na ripoti,alifariki mjini Tokyo mnamo tarehe 31 Mei, 2015 kutokana na kichomi ama Pneumonia kwa Kiingereza.
Koizumi aliigiza kama Godzilla katika filamu ya Godzilla Raids Again ikiwa ni falamu ya kwanza ya Godzilla iliozinduliwa mwaka uliofuta.
Baadaye aliigiza katika filamu kadhaa za kutisha ikiwemo Mothra, Godzilla vs The Thing na Ghindorah and the Three Headed Monster.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment