Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 7 June 2015

MWANABLOGU ALIYETUSI UISLAMU KUADHIBIWA


Mahakamu kuu nchini Saudia imeamua kuwa hukumu ya kifungo cha miaka 10 na viboko 1000 dhidi ya mwanablogu Raif Badawi aliyepatikana na hatia ya kutukana Uislamu itabaki vile ilivyo.

Utalawa nchini Saudi Arabia uliamuru kusikilizwa tena kwa hukumu hiyo kufuatia shutuma za kimataifa baada ya bwana Badawi kuchapwa viboko hamsini mapema mwaka huu.
Mkewe na makundi ya haki za kibinadamu yameonya kuwa huenda akafariki ikiwa hukumu hiyo yote itatekelezwa.
Bwana Badawi alikamatwa kufuatia blogi aliyoanzisha ambayo ilikashifu baadhi ya tamaduni nchini Saudi Arabia.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment