Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 7 June 2015

KOCHA WA BARCELONA HAJUI HATMA YAKE

Louis Enrique
Mkufunzi wa Barcelona Luis Enrique amekataa kujadili hatma yake ama kuthibitisha iwapo ataendelea kuifunza Barcelona licha ya kuipatia timu hiyo mataji matatu.
Enrique,katika msimu wake wa kwanza kama kocha katika kilabu ya Barcelona baada ya kumrithi Gerardo Martino aliongeza kombe la vilabu bingwa baada ya kupata lile la Copa Del Rey pamoja na La liga kwa kuicharaza timu ya Juventus katika fainali iliochezwa katika uwanja wa Olimpiki mjini Berlin.

No comments:

Post a Comment