Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Majaliwa Bilali (kulia), akizungumza sababu zilizowapelekea wana CCM mkoani humo kuchanga fedha za kumuwezesha Mtangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (kushoto), wakati wa hafla fupi ya kukabidhi mchango huo wa shilin gi milioni 1 zilizofanyika nyumbani kwa mtangaza nia huyo, mjini Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Badaaye jioni Lowassa anatarajiwa kuchukua fomu hizo, makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment