Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 17 June 2015

WAZIRI MEMBE ALIPOSHIRIKI MAZISHI YA MUFTI ISSA SHABAN BIN SIMBA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe  akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16, 2015.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe  akitoa neno kwa umati wa waombolezaji katika msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga, baada ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe  akisindikizwa na Askofu Liberatus Sangu baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni 16.2015.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe  akisalimiana na wananchi baada ya weka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.
<!--[if gte mso 9]>

No comments:

Post a Comment