Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 7 June 2015

UINGEREZA YASEMA, HAKUNA HAJA YA KUANDAA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2018

Rais wa FIFA Sepp Blatter
Shirikisho la soka nchini Uingereza (FA) limesema kuwa halina haja ya kuandaa kombe la dunia la mwaka 2018 ama lile la mwaka 2022 nchini Qatar iwapo mataifa yanayoandaa yatapokonywa fursa hiyo.

Maafisa wa mashtaka wa Uswizi wanachunguza zabuni za michuano hiyo ,ijapokuwa FIFA inasema kuwa hakutakuwa na ushindani mwengine wa kutolewa kwa zabuni hizo.
Katibu wa utamaduni nchini Uingereza John Whittingdale anasema kuwa Uingereza huenda ikachukua maandalizi ya kombe hilo iwapo itaombwa kufanya hivyo.
Lakini afisa mkuu wa shirikisho la FA Martin Glenn amesema kuwa Uingereza haina haja.
Akizungumza na SkyNews,Glenn ameongezea kwamba michuano hiyo ya mwaka 2018 itaandaliwa na Urusi kwa njia nzuri.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment