Watafiti wa gari aina ya Landrover Jaguar wametengeza gari ambalo linaweza kuhisi mashimo yalio barabarani wakati linapoendeshwa. Sensa zilizopo katika gari hilo hubaini mashimo hayo na hutuma ujumbe wa data hiyo kwa haraka kwa madereva na mamlaka ya eneo hilo.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Thursday, 11 June 2015
MWISHO WA AJALI? HILI NDILO GARI LINALOHISI MASHIMO BARABARANI!
Watafiti wa gari aina ya Landrover Jaguar wametengeza gari ambalo linaweza kuhisi mashimo yalio barabarani wakati linapoendeshwa. Sensa zilizopo katika gari hilo hubaini mashimo hayo na hutuma ujumbe wa data hiyo kwa haraka kwa madereva na mamlaka ya eneo hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment