Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday, 9 June 2015

MTANDAO WA KIJESHI MAREKANI WADUKULIWA

Mkuu wa viongozi wa kijeshi nchini Marekani akiwa na waziri wake wa ulinzi Ash Carter
Jeshi la Marekani lilisimamisha kwa muda mtandao wake baada ya kisa cha kuingiliwa kimitandao.
Jeshi la Syria la Electroniki - linalomuunga mkono Rais Bashar al-Assad - limesema katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter, kuwa ndilo lililotekeleza shambulizi hilo la kimitandao. Lakini habari za hivi punde zasema kuwa mtandao huo wa jeshi la Marekani umerejeshwa.
BBC

No comments:

Post a Comment