Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwakaribisha Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo aliyeambatana na Katibu
Mkuu wa TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe kabla ya kuanza kwa kikao chao cha pamoja na
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika kikao cha pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Naibu Waziri wa
TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Katibu
Mkuu wa TAMISEMI Mussa Iyombe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Makamu wa Rais Samia Suluhu mara
baada ya kutoka kwenye kikao cha pamoja kilicho wahusisha Naibu Waziri wa
TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Katibu
Mkuu wa TAMISEMI Mussa Iyombe Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha
namba 6-8. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumaliza kikao
chao kilicho wahusisha Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mussa Iyombe Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment