Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina
akimksikiliza Mkurungenzi wa Kituo cha Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi
za Kibiashara kwa Vijana Zanzibar Ndg, Ameir Sheha akitowa maelezo kwa
Naibu Waziri alipowasili katika viwanja vya Kituo hicho huko Mbweni
Zanzibar wakati wa ziara yake Zanzibar.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina
akimsikiliza Mtaalamu Ufundi wa Kituo hicho Dr. Rajeev Aggrwal akitowa
maelezo ya mafunzo kwa Vijana wanaojiunga na Kituo hicho kupata Elimu ya
Ujasiriamali na baadae kujiajiri mwenyewe baada ya kupata ujenzi
kupitia kituo hicho, kilioko katika majengo ya Chuo cha Karume Mbweni
Zanzibar.
Naibu
Waziri Ofisi wa Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akipitia ripoti ya
Kituo hicho baada ya kupata maelezo kutoka kwa Wataalamu wa Kituo hicho
wakati wa ziara yake Zanzibar kutembelea Taasisi mbalimbali.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mpina akiwa
na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kukuza Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi
za Kibiashara kwa Vijana Ndg. Ameir Sheha, akimtembeza katika Kituo
hicho kujionea shughuli zinazofanywa kutowa mafunzo kwa Vijana
wanaojiunga kupata mafunzo ya ujasiriamali.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina
akimsikiliza mwanafunzi wa Kituo hicho Maryam Omar akitowa maelezo ya
utengenezaji wa sabuni na mafuta mafunzo wanayoyapata kupitia Kituo
hicho kwa sasa kina Vijana 700 wanapata mafunzo ya Ujasiriamali
Zanzibar.
Mwanafunzi
wa Kituo cha Ujasiriamali Mbweni Maryam Omar akitowa maelezo ya jinsi
ya utengenezaji wa bidhaa zitokanazo na maziwa, Samli. Siagi na Chizi ni
moja ya mafunzo yanayotolea Kituoni Hapo.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina
akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na Vijana katika Kituo hicho.
W
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina
akitembelea Kituo cha Ujasiriamali Mbweni Zanzibar akiwa na Mkurugenzi
wa Kituo hicho Ndg Ameir Sheha.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akipata maelezo
kutoka kwa Kijana anayepata mafunzo kituo hicho jinsi ya kutengeneza
mishumaa
Baadhi
ya Bidhaa zainazozalishwa katika Kituo hicho cha Kukuza Ujasiriamali
Kutengeneza Nafasi za Kibiashara kwa Vijana Mbweni Zanzibar, hizo bidha
za mishumaa.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blog.
Zanzinews.com
othmanmaulid@gmail.com
0777424152 or 0715424152.
No comments:
Post a Comment