Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 15 December 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Khatibu Malimi Kazungu kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Ikulu jijini Dar es Salaam.
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa pili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakwanza kushoto, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Doto James wakwanza kulia pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Khatibu Malimi Kazungu Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment